TEAM AQAZ star ni umoja ulioundwa kwa ajili ya wapenzi wote wa Almadrasatul Qadiria lengo kuu likiwa ni kusaidiana na kusapotiana kikazi kati ya AQAZ star na AQAZ madrasa.
kusaidiana kwa lolote lile litakalomfika mwanachama wa AQAZ star au mwanafunzi wa AQAZ madrasa liwe la furaha(harous) ama huzuni(maafa) na kuumwa bac watasaidiana kwa hali na mali.
kusapotiana kikazi ni kwa lolote litakalotokea likiwa linahitaji msaada kwa upande wa AQAZ star na AQAZ madrasa.
Wanachama wa TEAM AQAZ star siku ya ijumaa sawa na tarehe 05/01/2018 walifanya uchaguzi wa viongozi na kufanikiwa kuwapata viongozi hao.
WAFUATAO NI VIONGOZI WA TEAM AQAZ star NA NYADHIFA ZAO:
1)SULEIMAN MUSSA: MWENYEKITI
2)ABDALLAH WAZIR HAROUB: KATIBU
3)ALLY ISSA NYANGE: MSEMAJI MKUU
4)KHAMIS JUMA ABDALLAH: MTU WA MAWASILIANO
5)SULEIMAN ALI HAJI: MTU WA MAADILI NA NIDHAMU
6)FATMA SAID ALBATAWY: MSHIKA FEDHA
7)SHEMSA JUMA RAJAB: MTU ANAEHUSIKA NA MASUALA YA MAVAZI(SARE) KWA WANAWAKE NA WANAUME.
NADHANI MUMEFAIDIAKA NA MENGI KUTOKA KWA MRNDEGEE.BLOGSPO.COM
ILI KUPATA YOTE HAYO TEMBELEA KURASA ZETU ZA:
FACEBOOK ANDIKA MRNDEGE TZ
INSTAGRAM ANDIKA MR.NDEGE
TWEETER ANDIKA MR.NDEGE NA
YOUTUBE ANDIKA MR.NDEGE TV
0 Maoni