Michezo mingine ilikuwa ni kati ya Cristal pales akichuana na sanderland ambapo sanderland ilipata ushindi mpana wa mabao manne kwa bila mabao yakifungwa na L.Kone dk 9,D.Ndong dk ya 43, J.Defoe 45+1 na lamwisho akamalizia huyohuyo dk 45+3
kwa upande wa everton iliibuka na ushindi wa mabao 6 kwa 3 dhidi ya bournemouth,hull city 2-0 liverpool, southampton 1-3 west ham united,watford 2-1 burney, tottenham hotspor 1-0 middlesbrough
Mpaka kukamilika michezo ya jana chelsea inaendelea kushika nafasi yake ya kwanza akiwa na alama 59 alama 9 mbele dhidi ya tottenham anaeshika nafasi ya pili akiwa na alama 50.
Leo kutapigwa michezo miwili pekee Manchester City VS Swansea City 9:30 jioni

0 Maoni