AQAZ STAR GROUP YAWEKA MIKAKATI KWA WANACHAMA WAKE

AQAZ STAR GROUP imepanga mipango thabit ya kuweza kuufanya umoja wao udumu na uwe wenye tija,
Mipango hio imepangwa katika kikao chao kilichofanyika jumapili tarehe 14/01/2018 ktk ukumbi wa nyumba ya mama mlezi wa group hilo Fatma albatawy iliopo michenzani nyumba no 10 miongoni mwa mipango hiyo ni   kuwa na sare zao zitakazowatambulisha pale watakapokuwa na mikutano yao,kulizindua group rasmi ambapo wamepanga kulizindua mwez wa pili na mengine mengi.

Chapisha Maoni

0 Maoni

Sheikh Nyundo