Kundi maarufu la watumaji wa salamu linalojuulikana kwa jina la TEAM BOHOT linalotuma salamu kupitia kituo cha swahiba fm wameamua kurudi tena ktk game la utumaji salamu baada ya kimya kirefu, Akizungumza na blogg ya mrndege mlezi wa kundi hilo ndugu SHADMAYA amesema kuwa wanatarajia kufanya mengi zaid hususan ktk mambo ya msingi ya kusaidia watu wenye mahitaji maalum

0 Maoni